Ufafanuzi wa tokwa katika Kiswahili

tokwa

kitenzi sielekezi

  • 1

    tokeza maji, damu, kamasi, n.k. kutoka kwenye uwazi k.v. mdomo, tupu au jeraha.

Matamshi

tokwa

/tɔkwa/