Ufafanuzi wa tola katika Kiswahili

tola

nominoPlural tola

  • 1

    kipimo cha kadiri ya nusu wakia ambacho hutumika kupimia vitu vilivyotengenezwa kwa dhahabu, fedha na manukato.

Matamshi

tola

/tɔla/