Ufafanuzi wa tolatola katika Kiswahili

tolatola

kivumishi

  • 1

    aina mbalimbali.

    ‘Amekaa kwenye meza iliyoandikiwa vyakula tolatola’

Matamshi

tolatola

/tɔlatɔla/