Ufafanuzi wa toleo katika Kiswahili

toleo

nominoPlural matoleo

  • 1

    nakala ya makala katika jarida au kitabu kwa ajili ya kupigwa chapa na kuuzwa au kugawanywa kwa watu.

  • 2

    kitu kinachotolewa.

  • 3

    chapisho k.v. la kitabu linalotolewa baada ya kufanyiwa masahihisho.

Matamshi

toleo

/tɔlɛwɔ/