Ufafanuzi wa tomba katika Kiswahili

tomba

kitenzi elekezi

  • 1

    tia tupu ya kiume kwenye tupu ya kike katika kitendo cha kujamiiana.

    ingilia, jamii

Matamshi

tomba

/tɔmba/