Ufafanuzi wa tombola katika Kiswahili

tombola

nominoPlural tombola

  • 1

    mchezo wa bahati nasibu ambao mchezaji hulinganisha namba za tiketi yake na namba zinazotolewa.

Matamshi

tombola

/tɔmbɔla/