Ufafanuzi wa tombovu katika Kiswahili

tombovu

nomino

  • 1

    hewa, agh. yenye harufu, inayotoka wakati wa kuteuka.

    teushi

  • 2

    maneno machafu anayotoa mtu.

Matamshi

tombovu

/tɔmbɔvu/