Ufafanuzi wa tomoko katika Kiswahili

tomoko

nominoPlural matomoko

  • 1

    tunda linaloliwa lenye maganda yenye vidutuvidutu, nyama nyeupe na kokwa nyingi nyeusi.

Matamshi

tomoko

/tɔmɔkɔ/