Ufafanuzi wa tongoa katika Kiswahili

tongoa

kitenzi elekezi

  • 1

    sema waziwazi; eleza kinagaubaga.

Matamshi

tongoa

/tɔngɔwa/