Ufafanuzi wa tongoza katika Kiswahili

tongoza

kitenzi elekezi~ana, ~ea, ~eana, ~eka, ~esha, ~ewa, ~wa

  • 1

    shawishi mtu akubaliane na matamanio yako.

    bemba, rusa

Matamshi

tongoza

/tɔngɔza/