Ufafanuzi wa tope katika Kiswahili

tope

nomino

  • 1

    udongo wa majimaji, agh. unaonata.

Matamshi

tope

/tɔpɛ/