Ufafanuzi wa topu katika Kiswahili

topu

kiingizi

  • 1

    neno la kusisitiza kujaa hadi juu.

    ‘Kisima kimejaa topu’

Asili

Kng

Matamshi

topu

/tɔpu/