Ufafanuzi wa toroka katika Kiswahili

toroka

kitenzi sielekezi

  • 1

    ondoka mahali bila ya ruhusa.

    kimbia, feleti, chomoka

Matamshi

toroka

/tɔrɔka/