Ufafanuzi wa toroli katika Kiswahili

toroli, troli

nomino

  • 1

    kijigari kidogo kinachokwenda katika reli kwa kusukumwa.

    kiberenge

  • 2

    kijigari kidogo kinachotumiwa kubebea vitu na kusukumwa kwa mkono.

Asili

Kng