Ufafanuzi msingi wa tosa katika Kiswahili

: tosa1tosa2

tosa1

kitenzi elekezi

 • 1

  tia kitu katika kiowevu k.v. mafuta, maji au tui.

 • 2

  tota

Matamshi

tosa

/tɔsa/

Ufafanuzi msingi wa tosa katika Kiswahili

: tosa1tosa2

tosa2

kielezi

 • 1

  -enye kukaribia kuiva.

  ‘Embe tosa’

Matamshi

tosa

/tɔsa/