Ufafanuzi wa tosheka katika Kiswahili

tosheka

kitenzi sielekezi~ea

  • 1

    ridhika na kiasi ulichopata au maelezo yaliyotolewa.

    shakiri

Matamshi

tosheka

/tɔ∫ɛka/