Ufafanuzi wa tosheleza katika Kiswahili

tosheleza

kitenzi elekezi

  • 1

    kuwa katika kiasi au kiwango kinachoridhisha au kutosha.

    kifu, kidhi, ridhisha, wakifu

Matamshi

tosheleza

/tɔ∫ɛlɛza/