Ufafanuzi wa tosti katika Kiswahili

tosti

nomino

  • 1

    kipande cha mkate wa boflo kinachokaushwa kwa kuchomwa ili kiwe kigumu.

Asili

Kng

Matamshi

tosti

/tɔsti/