Ufafanuzi wa totama katika Kiswahili

totama

kitenzi sielekezi

  • 1

    kaa bila ya matako kugusa chini.

    chuchumaa, otama, chutama

Matamshi

totama

/tɔtama/