Ufafanuzi wa totoa katika Kiswahili

totoa

kitenzi elekezi

  • 1

    toa kifaranga katika yai k.v. kuku au ndege afanyavyo.

    angua

Matamshi

totoa

/tɔtɔwa/