Ufafanuzi wa totoro katika Kiswahili

totoro

kielezi

  • 1

    hutumika kusisitiza kiasi kikubwa cha giza.

    ‘Kiza totoro’

Matamshi

totoro

/tɔtɔrɔ/