Ufafanuzi wa tovi katika Kiswahili

tovi

nominoPlural tovi

  • 1

    dume la mnyama lililochaguliwa maalumu kwa ajili ya kueneza mbegu bora.

Matamshi

tovi

/tɔvi/