Ufafanuzi msingi wa tovu katika Kiswahili

: tovu1tovu2

tovu1

nominoPlural matovu

  • 1

    nakshi ya madini k.v. fedha au shaba, yenye umbo la kitovu inayowekwa mlangoni.

Matamshi

tovu

/tɔvu/

Ufafanuzi msingi wa tovu katika Kiswahili

: tovu1tovu2

tovu2

kivumishi

  • 1

    -enye kukosa; -siyokuwa na.

Matamshi

tovu

/tɔvu/