Ufafanuzi wa tovuti katika Kiswahili

tovuti

nominoPlural tovuti

  • 1

    nafasi katika mtandao wa kompyuta zinapopatikana taarifa mbalimbali k.v. kazi, wafanyakazi, biashara, n.k..

Matamshi

tovuti

/tɔvuti/