Ufafanuzi wa towashi katika Kiswahili

towashi

nomino

  • 1

    mtu aliyehasiwa.

Asili

Kaj

Matamshi

towashi

/tɔwa∫i/