Ufafanuzi wa toweka katika Kiswahili

toweka

kitenzi sielekezi

  • 1

    potea machoni; kosa kuonekana.

    tokomea, ghibu, potea

Matamshi

toweka

/tɔwɛka/