Ufafanuzi wa trafiki katika Kiswahili

trafiki

nomino

  • 1

    askari ambaye anaangalia usalama barabarani.

Asili

Kng

Matamshi

trafiki

/trafiki/