Ufafanuzi wa trela katika Kiswahili

trela, tela

nomino

  • 1

    bodi k.v. ya lori yenye magurudumu mawili au manne inayovutwa na gari au trekta.

Asili

Kng

Matamshi

trela

/trɛla/