Ufafanuzi wa tropiki katika Kiswahili

tropiki

nomino

  • 1

    ukanda wa dunia ulio kati ya digrii 23 na digrii 5 Kaskazini na Kusini ya ikweta.

Asili

Kng

Matamshi

tropiki

/trɔpiki/