Ufafanuzi msingi wa tua katika Kiswahili

: tua1tua2tua3

tua1

kitenzi sielekezi~ana, ~lia, ~lika, ~lisha, ~liwa, ~liza

 • 1

  shukia mahali fulani k.v. kwenye mti au kiwanja kutoka angani kama afanyavyo ndege.

  ‘Ndege ametua mtini’
  ‘Ndege imetua kiwanjani’

 • 2

  weka chini k.v. mzigo kutoka kichwani au begani.

  ‘Tua mzigo’
  ika

Matamshi

tua

/tuwa/

Ufafanuzi msingi wa tua katika Kiswahili

: tua1tua2tua3

tua2

kitenzi sielekezi~ana, ~lia, ~lika, ~lisha, ~liwa, ~liza

 • 1

  kuwa katika hali ya utulivu.

  makinika, stakiri, hema, tabaradi, burudi

 • 2

  ‘Kama methali hiyo imekutua, basi umeupata ujumbe wangu’
  eleweka

Matamshi

tua

/tuwa/

Ufafanuzi msingi wa tua katika Kiswahili

: tua1tua2tua3

tua3

nominoPlural tua

Matamshi

tua

/tuwa/