Ufafanuzi wa tuama katika Kiswahili

tuama

kitenzi sielekezi

  • 1

    teremka chini kwa kitu na kutulia k.v. masimbi.

  • 2

    anguka juu kwa kitu na kutulia k.v. vumbi.

Matamshi

tuama

/tuwama/