Ufafanuzi wa tubu katika Kiswahili

tubu

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha

  • 1

    omba maghufira kwa Mungu kwa makosa uliyofanya.

    juta

  • 2

    jutia makosa uliyofanya, agh. kwa kutaka msamaha kwa mtu aliyekupita kwa umri k.v. mzazi.

Asili

Kar

Matamshi

tubu

/tubu/