Ufafanuzi wa tufe katika Kiswahili

tufe

nominoPlural matufe

  • 1

    kitu chenye umbo la mviringo k.v. mpira au chungwa.

    futuza, bonge, purutangi, donge

Asili

Kar

Matamshi

tufe

/tufɛ/