Ufafanuzi wa tuguu katika Kiswahili

tuguu

nomino

  • 1

    jamvi la mviringo, agh. hutumika kwa kuanikia vyakula.

    kitanga

Matamshi

tuguu

/tugu:/