Ufafanuzi wa tuhumu katika Kiswahili

tuhumu

kitenzi elekezi~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa

  • 1

    tilia shaka.

    shuku, dhani

Asili

Kar

Matamshi

tuhumu

/tuhumu/