Ufafanuzi msingi wa tuka katika Kiswahili

: tuka1tuka2

tuka1

nomino

  • 1

    nguzo za kuegemeza kipaa cha baraza.

Matamshi

tuka

/tuka/

Ufafanuzi msingi wa tuka katika Kiswahili

: tuka1tuka2

tuka2

nomino

  • 1

    kitita cha mmea kilichong’olewa ili kupandikizwa.

Matamshi

tuka

/tuka/