Ufafanuzi wa tukia katika Kiswahili

tukia

kitenzi sielekezi~ka, ~lia, ~sha

  • 1

    kuja kwa kitu au jambo bila ya kutarajiwa.

    tokea, jiri

Matamshi

tukia

/tukija/