Ufafanuzi wa tukufu katika Kiswahili

tukufu

kivumishi

  • 1

    -enye kuheshimiwa.

    ‘Kurani tukufu’
    ali, ashirafu, akramu, aali, jalili, adhimu

Asili

Kar

Matamshi

tukufu

/tukufu/