Ufafanuzi wa tule katika Kiswahili

tule

kivumishi

  • 1

    -siyopendeza.

    ‘Tabia tule’
    -baya

  • 2

    nyonge, dhaifu, dhalili

Asili

Kar

Matamshi

tule

/tulɛ/