Ufafanuzi wa tulia katika Kiswahili

tulia

kitenzi sielekezi

  • 1

    kuwa katika hali ya utulivu.

    ‘Upepo umetulia’
    burudi, andisi, stakiri, tabaradi, poa, makinika, nyamaa

Matamshi

tulia

/tulija/