Ufafanuzi wa tulivu katika Kiswahili

tulivu

kivumishi

  • 1

    -enye kutulia.

    ‘Mtoto mtulivu’
    raufu, makini, mwanana, shwari

Matamshi

tulivu

/tulivu/