Ufafanuzi msingi wa tumaini katika Kiswahili

: tumaini1tumaini2

tumaini1 , tumai

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha, ~iwa

 • 1

  kuwa na tamaa au matarajio ya kupata kitu au kufanikiwa.

  methali ‘Mtumaini cha ndugu hufa hali maskini’
  tarajia, tazamia, tegemea, amamia, rajua

Ufafanuzi msingi wa tumaini katika Kiswahili

: tumaini1tumaini2

tumaini2

nominoPlural matumaini

 • 1

  fikira ya uwezekano wa kupata mradi fulani.

  rajua

Asili

Kar

Matamshi

tumaini

/tumaIni/