Ufafanuzi wa tumbaku katika Kiswahili

tumbaku

nominoPlural tumbaku

  • 1

    mmea unaotoa majani ambayo hukaushwa na kutengenezwa sigara, kuvutwa kwenye kiko, kunuswa au kutafunwa.

Asili

Khd

Matamshi

tumbaku

/tumbaku/