Ufafanuzi wa tumbawe katika Kiswahili

tumbawe

nominoPlural matumbawe

  • 1

    jiwe jororo la baharini linalotokana na vinyama vidogo vya baharini ambavyo hujikusanya pamoja.

    fufuwele, bawe, chawe

Matamshi

tumbawe

/tumbawɛ/