Ufafanuzi wa tumbuizo katika Kiswahili

tumbuizo

nominoPlural matumbuizo

  • 1

    kitu k.v. wimbo, ngoma, bendi au muziki kinachotoa burudani kwa watu.

Matamshi

tumbuizo

/tumbuIzɔ/