Ufafanuzi wa tumbuu katika Kiswahili

tumbuu

nominoPlural tumbuu

  • 1

    chombo cha chuma kinachowekwa kwenye muhimili wa mlango kinachotumiwa kwa kufungia.

Matamshi

tumbuu

/tumbu:/