Ufafanuzi wa tundika katika Kiswahili

tundika

kitenzi elekezi

  • 1

    pachika kitu juu kwenye kitu kingine k.v. msumari, panda au kiango.

    ‘Tundika nguo ukutani’

Matamshi

tundika

/tundika/