Ufafanuzi wa tunduia katika Kiswahili

tunduia

kitenzi elekezi~ana, ~ka, ~lia, ~wa, ~za

  • 1

    angalia kwa makini.

  • 2

    chungua, agh. mtu, ili kujua kila analotenda.

    peleleza

Matamshi

tunduia

/tunduIja/