Ufafanuzi wa tungua katika Kiswahili
tungua
kitenzi elekezi~ka, ~lia, ~liana, ~lisha, ~liwa
- 1
chukua kitu kilichotundikwa au kinachoning’inia.
angua - 2
piga, agh. kwa risasi, kitu kinachoruka angani na kukiangusha.
‘Wanajeshi wametungua ndege ya maadui’