Ufafanuzi wa tunguri katika Kiswahili

tunguri

nomino

  • 1

    kibuyu kidogo kinachotumiwa na waganga wa kienyeji kuwekea dawa zao.

    ndonga

Matamshi

tunguri

/tunguri/